A 5 W's AND H BLOG IS THE BLOG DEAL WITH NEWS IN TWO LANGUAGE SWAHILI AND ENGLISH WITH FULL FACTS, CONTACT WITH US ON 0753321191, 0788056115 OR Email: 5wandhblog@gmail.com

Saturday, February 22, 2014

Soon TRA expects to offer uses of EFD mashine to Buses



TANZANIA Revenue Authority (TRA) soon expects to offer machines use electronic receipts (EFD) to the buses that make long trips in the country.
Speaking to journalists at a seminar on the use of EFD machines Mbeya senior official head of the TRA Education headquarters , HAMIS Lupenja recently said that will enhance EFD machines for government buses to collect its taxes correctly.
He said these machines become effective after completion of the ongoing research done on the authority's how the system will be used in the use of these machines to owners of buses.
 Explaining how these machines work to be maintained is said to be engaged in transportation transactions will repeat these machines give receipts to their customers who are Passengers .
He said these machines could have been the Winds walk , or be present at the bus station to offer a receipt according to then constitutes work.
He said that what download and upload bus passengers along the way would -existence within the machine has the gall to passengers who embark on the road with him obtain a receipt and recording in their business information .
He said the system will help the traders that they stopped using writing tickets by hand.
He said that following the authority presence of such a system will know how to approximate the entrepreneurs tax according to their income per year.
"This system will be easier for transportation workers and provide a receipt for those who download and raising passenger will walk on the same machine to provide receipts for passengers who will embark on the road while on the road ," said Lupenja.

*******************************


MAMLAKA ya mapato Tanzania TRA hivi karibuni inatarajia kuanzisha matumizi ya mashine za kutolea risiti za kierekitroniki (EFD) kwa mabasi yanayofanya safari ndefu hapa nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari katika semina juu ya matumizi ya mashine za EFD mkoani Mbeya Afisa mwandamizi mkuu elimu wa TRA Makao makuu, Hamis Lupenja alisema kuwa hivi karibuni kutaanzisha washine za EFD kwa mabasi ili serikali kukusanya kodi yake kwa usahihi.
Alisema mashine hizo zitaanza kutumika baada ya kumalizika kwa utafiti unaoendelea kufanyika na mamlaka hiyo jinsi mfumo utakao tumika katika utumiaji wa mashine hizo kwa wamiliki wa mabasi.
 Akielezea jinsi mashine hizo zitakavyo fanya kazi alisema kuwa wanaofanya biahsra ya usafirishaji watazitumia mashine hizo kutoa risiti kwa wateja wao ambao ni abairia.
Alisema mashine hizo zinaweza kuwa zile zinazo tembea au kuwapo katika kituo cha basi cha kutolea risiti kulingana na basi linavyo fanya kazi.
Alisema kuwa kwa mabasi yanayo shusha na kupakia abiria njiani watakuw ana mashine ndani ya gali ili abiria anaye panda njiani nae apate risiti na kurekodi katika taarifa zao za biashara.
Alisema mfumo huu utawasaidia wafanyabiashara hao kwani wataacha kutumia tiketi za kuandika kwa mkono.
Alisema kuwa kufuatia kuwapo kwa mfumo huo mamlaka itaweza kujua jinsi ya kuwakisia kodi wafanyabiashara hao kulingana na kipato chao kwa mwaka.
“Mfumo huu utawarahisishia wafanyabiashara ya usafirishaji kutoa risiti na kwa wanao shusha na kupandisha abiria watatembea na mashine hiyo ili kutoa risiti kwa abiria atakaye panda njiani wakati wanaendelea na safari,” Alisema Lupenja.

No comments:

Post a Comment