A 5 W's AND H BLOG IS THE BLOG DEAL WITH NEWS IN TWO LANGUAGE SWAHILI AND ENGLISH WITH FULL FACTS, CONTACT WITH US ON 0753321191, 0788056115 OR Email: 5wandhblog@gmail.com

Monday, May 26, 2014

Uhuru torch 2014 HIS finish in Rukwa, Insight albinism (ALBINO) which is hand-cut last year. Handed in Mbeya.

Rukwa Regional Commissioner Eng. Stella Manyanya (right) hands over the Mbeya Regional Commissioner Hon. Abass Kandoro Torch of Freedom. after finishing his race in Rukwa Region. Rukwa visited development projects 28 and 27 groups would share worth over Tsh. four billion (4).
Chased Torch of Freedom ( 2014) national Dear Call Mlemelwa ( center) on behalf of their leader Biza national Torch (2014 ) Dear Rachel Kassanda was presented with albinism Bi . Maria Chambanenge resident of Sumbawanga help of two oxen to cultivate a variety of Steer ( pictured absent ) and cattle farm plow ( plow ) on 24-05-2014 labels worth Tsh . 2.3 million subsistence aid from Sumbawanga District Council from the same mother cut his left hand of witchcraft late last year . Left who witnessed it Sumbawanga District Commissioner Hon . Methew Sedoyyeka .
Two oxen to cultivate that kind of Steer provided support to Mary Chambanenge .
Chased Torch of Freedom ( 2014) national Dear Call Mlemelwa ( center) on behalf of their leader Biza national Torch (2014 ) Dear Rachel Kassanda was presented with albinism Bi . Maria Chambanenge resident of Sumbawanga support of animal farm plow ( plow ) and two oxen to cultivate a variety of Steer ( are not pictured ) yesterday on 24-05-2014 labels worth Tsh . 2.3 million subsistence aid from Sumbawanga District Council from the same mother cut his left hand of witchcraft late last year .

Ms. albino . Maria Chambanenge resident who was awarded disability Sumbawanga other ingredients last year 2013 and Unidentified people after cutting his left hand of witchcraft and holding a torch of freedom yesterday dated 24-05-2014 was visiting her village to launch a project to support water and turned him over to two oxen to cultivate a variety of Steer ( pictured absent ) and cattle farm plow ( plow ) labels worth Tsh . 2.3 million subsistence aid from Sumbawanga District Council for the mother.
 (By Hamza Temba - Regional Office Rukwa@rukwareview.blogspot.c

MWENGE WA UHURU 2014 WAMALIZA MBIO ZAKE MKOANI RUKWA, WAMMLIKA MLEMAVU WA NGOZI (ALBINO) ALIYEKATWA MKONO MWAKA JANA. WAKABIDHIWA MKOANI MBEYA.

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya (kulia) akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Abass Kandoro Mwenge wa Uhuru. baada ya kumaliza mbio zake Mkoani Rukwa. Rukwa ulitembelea miradi ya maendeleo 28 na vikundi 27 vikiwa na thamani ya zaidi ya Tsh. bilioni nne (4). 
Mkimbiza Mwenge wa Uhuru (2014) kitaifa Ndugu Wito Mlemelwa (katikati) kwa niaba ya Kiongozi wa wakimbiza Mwenge kitaifa (2014) Ndugu Rachel Kassanda akimkabidhi mlemavu wa ngozi Bi. Maria Chambanenge mkazi wa Sumbawanga msaada wa ng'ombe wawili wa kulimia aina ya Maksai (hawapo pichani) na jembe la kulimia wanyama (Plau)  tarehe 24-05-2014 vikiwa na thamani ya Tsh. Milioni 2.3 kama msaada wa kujikimu kutoka kwa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga kutokana na mama huyo kukatwa mkono wake wa kushoto kwa imani za kishirikina mwishoni mwa mwaka jana. Kushoto anayeshuhudia ni Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Mhe. Methew Sedoyyeka.
Ng'ombe wawili wa kulimia aina ya Maksai waliotolewa msaada kwa Mama Maria Chambanenge.
Mkimbiza Mwenge wa Uhuru (2014) kitaifa Ndugu Wito Mlemelwa (katikati) kwa niaba ya Kiongozi wa wakimbiza Mwenge kitaifa (2014) Ndugu Rachel Kassanda akimkabidhi mlemavu wa ngozi Bi. Maria Chambanenge mkazi wa Sumbawanga msaada wa jembe la kulimia wanyama (Plau) na ng'ombe wawili wa kulimia aina ya Maksai (hawapo pichani) jana tarehe 24-05-2014 vikiwa na thamani ya Tsh. Milioni 2.3 kama msaada wa kujikimu kutoka kwa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga kutokana na mama huyo kukatwa mkono wake wa kushoto kwa imani za kishirikina mwishoni mwa mwaka jana. 
Mlemavu wa ngozi Bi. Maria Chambanenge mkazi wa Sumbawanga ambaye alisababishiwa ulemavu mwingine wa viungo mwaka jana 2013 na watu wasiojulikana baada ya kukatwa mkono wake wa kushoto kwa imani za kishirikina akishika Mwenge wa Uhuru jana tarehe 24-05-2014 ulipotembelea kijijini kwao kuzindua mradi wa maji na kumkabidhi msaada wa ng'ombe wawili wa kulimia aina ya Maksai (hawapo pichani) na jembe la kulimia wanyama (Plau) vikiwa na thamani ya Tsh. Milioni 2.3 kama msaada wa kujikimu kutoka kwa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga kwa mama huyo


No comments:

Post a Comment