A 5 W's AND H BLOG IS THE BLOG DEAL WITH NEWS IN TWO LANGUAGE SWAHILI AND ENGLISH WITH FULL FACTS, CONTACT WITH US ON 0753321191, 0788056115 OR Email: 5wandhblog@gmail.com

Wednesday, February 19, 2014

Two People are given the beatings , One dies

ONE person has died while undergoing treatment after being attacked by the people after the late Seleman Kadumu ( 25 ) and another in Mbeya Ilemi residents accused of thieves.
The deceased died while undergoing treatment at the referral hospital in Mbeya Region , after the attack by firing various parts of their bodies were accused of being thieves.
Speaking to journalists Acting Regional Police Commander Robert Mayala Mbeya said that the incident occurred recently summer night at 3:45 after the suspects were noted to break shop .
Mayala said the suspects were arrested they would break Abu Omar shop in Mbeya Ilemi resident after breaking the radio personalities kind of Sub - woofer , Mobile and Computer .
He said that by late colleague , who is known by the name of Samson Devid , who claimed to be together during the event was treated and discharged.
Malaya has appealed to city residents were not properly use Mbeya judicial , for by doing so they lose rights of suspects and believe instinct .

***************************************



Watu wawili wapewa kipigo, mmoja afariki

MTU mmoja amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu baada ya kushambuliwa na wananchi baada ya marehemu Seleman Kadumu (25) na mwenzake wakazi wa Ilemi jijini Mbeya kutuhumiwa kwa wezi.

Marehemu alifariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mkoani Mbeya, baada ya kushambuliwa kwa kupigwa sehemu mbalimbali za miili yao wakituhumiwa kuwa ni wezi.

Akizungumza na waandishi wa habari Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Robert Mayala alisema kuwa tukio hilo lilitokea Juzi majira ya saa 3:45 usiku baada ya watuhumiwa hao kubainika wakitaka kuvunja duka.

Mayala alisema watuhumiwa walikamatwa wakitaka kuvunja duka la Omari Abuu mkazi wa Ilemi jijini Mbeya ambapo baada ya kuvunja waliiba radio aina ya Sub-woofer, Simu ya Mkononi na Computer.

Alisema kuwa mwenzake na marehemu, aliye fahamika kwa jina la Devid Samson, ambaye anadaiwa kuwa pamoja wakati wa tukio alitibiwa na kuruhusiwa.

Malaya ametoa wito kwa wakazi wa jiji la Mbeya kuwa si vizuri kutumia sheria mkononi kwani kwa kufanya hivyo wanapoteza haki za watuhumiwa na muasilika.
     

2 comments:

  1. Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha Tumaini university dar es salaam college kozi ya sheria . diploma.. Nahitaji kuwa mwana member wa club ya PCCB. Je nifate taratibu gani ili niweze kuwa??

    ReplyDelete
  2. Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha Tumaini university dar es salaam college kozi ya sheria . diploma.. Nahitaji kuwa mwana member wa club ya PCCB. Je nifate taratibu gani ili niweze kuwa??

    ReplyDelete