MINISTRY OF TRANSPORTWEATHER AUTHORITYS.L.P.3056 , DAR - ES - SALAAMFax : 2460735 . email: met@meteo.go.tz
WEATHER FORECASTS FOR HOURS 24 3:00 HOURS FROM later tonight.
DATE 02/17/2014 .[ Regions of Arusha , Kilimanjaro , Manyara and Mara ]: [ regions of Dar es Salaam , Coast and Tanga ]:[ Islands of Unguja and Pemba ]:
Nature of Clouds, rain and thunderstorms in some areas and short periods of sun[ Regions of Lindi and Mtwara ]:[ Morogoro Region ]:
Nature of Clouds, rain and thunderstorms in many areas and short periods of sun[ Dodoma and Singida Regions ]:[ Kigoma and Tabora Regions ]:
State of Partly amount , rainfall at a few places and periods of sun[ Regions of Kagera , Mwanza and Shinyanga ]:
State of Partly amount , thunderstorms in a few places and periods of sun[ Regions of Iringa , Mbeya , Rukwa and Ruvuma ]:
State of Partly amount , rain and thunderstorms in a few places and periods of sun
WARNING :
Strong winds and large waves are expected in coastal areas SOME
ALL COAST ( Lindi, Mtwara, Tanga, Pwani , Dar es Salaam with Islands of
Zanzibar and Pemba ).
SESSIONS OF THE MOST RAIN is expected in some parts of Arusha , Kilimanjaro, Manyara, Morogoro, Lindi and Mtwara .
LEVELS OF HEAT, dawn and sunset FOR SOME CITIES IN THE COUNTRY :
Minimum temperatures
Sunrise (hours )
Sunset (hours )ARUSHA CITY25 ° C The maximum rate of heat
16 ° C
12:42 Sunrise
12:53 SunsetD' SALAAM CITY
30 ° C The maximum rate of heat
23 ° C
12:28 Sunrise
12:46 SunsetDODOMA CITY
29 ° C The maximum rate of heat
19 ° C
12:42 Sunrise
01:00 SunsetKigoma CITY
27 ° C The maximum rate of heat
21 ° C
01:07 Sunrise
01:22 SunsetMBEYA CITY
23 ° C The maximum rate of heat
15 ° C
12:49 Sunrise
01:11 SunsetMWANZA CITY
26 ° C The maximum rate of heat
17 ° C
12:57 Sunrise
01:07 SunsetTABORA CITY
27 ° C The maximum rate of heat
18 ° C
12:55 Sunrise
01:10 SunsetTANGA CITY
31 ° C The maximum rate of heat
24 ° C
12:30 Sunrise
12:45 SunsetZANZIBAR CITY
30 ° C The maximum rate of heat
24 ° C
12:28 Sunrise
12:46 Sunset
Coastal wind : You are expected to blow from the north -east at a speed of 40 km per hour to Coast
North and from the North to the speed of 30 km per hour to the South Coast .
State of the sea : the tide is expected to be moderate to large .
The outlook for Wednesday : 19/02/2014 : a little change .
This prediction has been issued today on 02.17.2014 .By: AUTHORITY OF THE STATE OF AIR TANZANIA.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 17/02/2014
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA
3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE
17/02/2014.
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro, Manyara na Mara]: [Mikoa ya Dar es salaam, Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
|
Hali ya Mawingu, mvua na
ngurumo kwa baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua
|
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
[Mkoa wa Morogoro]:
|
|
Hali ya Mawingu, mvua na
ngurumo katika maeneo mengi na vipindi vifupi vya jua
|
[Mikoa ya Dodoma na
Singida]:
[Mikoa ya Kigoma na
Tabora]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi
vya jua
|
[Mikoa ya Kagera, Mwanza na
Shinyanga]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi,
ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua
|
[Mikoa ya Iringa, Mbeya, Rukwa na Ruvuma]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua
|
TAHADHARI:
- UPEPO MKALI NA MAWIMBI MAKUBWA YANATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MWAMBAO WOTE WA PWANI (LINDI, MTWARA, TANGA, PWANI, DAR ES SALAAM PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).
- VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA ARUSHA, KILIMANJARO MANYARA, MOROGORO, LINDI NA MTWARA.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
25°C
|
16°C
|
12:42
|
12:53
|
D'SALAAM
|
30°C
|
23°C
|
12:28
|
12:46
|
DODOMA
|
29°C
|
19°C
|
12:42
|
01:00
|
KIGOMA
|
27°C
|
21°C
|
01:07
|
01:22
|
MBEYA
|
23°C
|
15°C
|
12:49
|
01:11
|
MWANZA
|
26°C
|
17°C
|
12:57
|
01:07
|
TABORA
|
27°C
|
18°C
|
12:55
|
01:10
|
TANGA |
31°C
|
24°C
|
12:30
|
12:45
|
ZANZIBAR
|
30°C
|
24°C
|
12:28
|
12:46
|
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini-Mashariki kwa kasi ya km 40 kwa saa
kwa Pwani ya
Kaskazini na
kutoka Kaskazini
kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya
bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa kiasi hadi makubwa.
Matazamio kwa siku ya Jumatano:
19/02/2014: Mabadiliko kidogo.
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe 17/02/2014.
Na: MAMLAKA
YA HALI YA HEWA TANZANIA.
No comments:
Post a Comment