Elimtaa Blog Kiswahili na A 5
W’s and H Blog English.
Inatoa pongezi kwa
Rais wa Jamuhuri wa Tanzania rais Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu awamu ya tatu,
Benjamin Mkapa, Rais wa awamu ya Pili Husen Mwinyi na waasisi wa muungano,
Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere na Sheikh Aman Karume kwa kuulinda muungano
wetu wa kihistoria mpaka kufikia miaka 50 kukiwa kuna amani ya kutosha bila
kuwasahau wananchi wote wa Tanzania bara na Tanzania Visiwani.
No comments:
Post a Comment