A 5 W's AND H BLOG IS THE BLOG DEAL WITH NEWS IN TWO LANGUAGE SWAHILI AND ENGLISH WITH FULL FACTS, CONTACT WITH US ON 0753321191, 0788056115 OR Email: 5wandhblog@gmail.com

Wednesday, May 7, 2014

Myths forest absorbs carbon dioxide

Tanzania is supposed to keep the natural wood and the trees stop and sophisticated that it has great potential to combat climate change and carbon dioxide .
Speaking to the Guardian in an interview with the workshop evaluation survey , which was carbon dioxide in Mbeya for four years Prof . Pantaleo Munishi from Sokoine University , said the country should ensure indigenous trees were observed and sustained.Prof . Munishi said that people have been affect forests in their activities of daily living and others trying to decide stumbling in life .
He said that people have been using wood in construction development activities of various settlements .Munishi said people have been using wood to make construction and economical to get rid of cut trees and burn charcoal making deforestation that would not be sustainable.Seminar which was different forest experts from the regional council of Mbeya.
  
In terms of district natural resources officer Chunya , Edward Syadala said that people in the district have been cut down trees to plant trees for drying tobacco and modern.He said that the trees grown by the people , shall not collect in large quantities carbon dioxide and that the government has taken steps to provide education to the public about anti planting trees and urging citizens to leave the trees it grow anew." People have to have confidence that natural wood has no growth in seeds , so the government requires citizens to leave native trees in his branch to grow and grow ," said Syadala .


MISITU YA SASILI HUFYONZA HEWA YA UKAA

WATANZANIA wametakiwa kuitunza miti ya asili na kuacha na miti ya kisasa ambayo haina uwezo mkubwa wa kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa na hewa ya ukaa.

Akizungumza na NIPASHE katika mahojiano wakiwa katika semina ya tathimini ya tafiti za hewa ya ukaa iliyo fanywa mkoani Mbeya kwa muda wa miaka mine Prof. Pantaleo Munishi kutoka chuo kikuu cha Sokoine, alisema wananchi wanatakiwa kuhakikisha miti ya asili inatunzwa na kuwa endelevu.

Prof. Munishi alisema kuwa wananchi wamekuwa wakiiathiri misitu katika shughuli zao za kila siku za kimaisha na wengine wakijaribu kujikwa mua kimaisha.

Alisema kuwa wananchi wamekuwa wakitumia miti katika shughuli za maendeleo ya ujenzi wa makazi mbalimbali.

Munishi alisema wananchi wamekuwa wakitumia miti kufanya ujenzi na kujikwamua kiuchumi kwa kukata miti hiyo na kuchoma mikaa na kufanya ukataji miti hiyo bila kuwa endelevu.

Semina hiyo ambayo ilikuwa na wataalamu mbalimbali wa misitu kutoka halimashauri za mkoa wa Mbeya.
 
Kwa upande wa afisa maliasili wa wilaya ya Chunya, Edward Syadala alisema kuwa wananchi wilayani humo wamekuwa wakikata miti kwa ajili ya kukaushia Tumbako na kupanda miti ya kisasa.

Alisema kuwa miti inayopandwa na wananchi hao haikusanyi kwa wingi hewa ya ukaa na kuwa serikali imechukua hatua ya kutoa elimu kwa wananchi hao juu ya kupambana na upandaji wa miti hiyo na kuwataka wananchi kuiacha miti hiyo iote upya.

“Wananchi wamekuwa na imani ya kuwa miti ya asili haina mbegu za kuoteshwa, hivyo serikali inawataka wananchi kuiacha miti hiyo ya asili katika machipukizi yake ili ikue na kukuwa,” Alisema Syadala.

No comments:

Post a Comment