A 5 W's AND H BLOG IS THE BLOG DEAL WITH NEWS IN TWO LANGUAGE SWAHILI AND ENGLISH WITH FULL FACTS, CONTACT WITH US ON 0753321191, 0788056115 OR Email: 5wandhblog@gmail.com

Monday, February 17, 2014

MINISTER MEETS NYALANDU and different CLARIFY THE KINGDOM NEWS government efforts in combating poaching

  Minister of Natural Resources and Tourism Hon. Lazaro Nyalandu been hailed and Wildlife Assistant Director Paul Sarakikya immediately after completing an interview on BBC station in London where he attended the International Conference on the Illicit Trade in Wildlife. Right is Secretary to the Minister Imani Nkuwi.
  Minister of Natural Resources and Tourism Hon. Lazaro Nyalandu (medium) had an opportunity to meet the author of The Daily Mail in the UK Martin Fletcher (right) and explain about the government's efforts in the fight against poaching in the country. Left is Assistant Director of Wildlife Paul Sarakikya
  Minister of Natural Resources and Tourism Hon. Lazaro Nyalandu an interview with presenter British Broadcasting Corporation (BBC) Gifts Machibya where he had an opportunity to discuss the various efforts made ​​by the Government in Fight Against Poaching in a challenge requiring the support of the international community.
Chairman of the Standing Committee on Lands, Natural Resources and Environment, Hon. James Lembeli (left) listening Wildlife Assistant Director Paul Sarakikya (right) attended the London International Conference on the Illicit Trade in Wildlife. Between the Secretary of the Minister Faith Nkuwi.Picha and Pascal Shelutete, TANAPA

 

 

WAZIRI NYALANDU AKUTANA NA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI UINGEREZA KUFAFANUA JUHUDI ZA SERIKALI KATIKA KUPAMBANA NA UJANGILI

 Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akipongezwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Wanyamapori Paul Sarakikya mara baada ya kumaliza mahojiano katika kituo cha BBC jijini London alipokuwa akihudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Biashara Haramu ya Wanyamapori. Kulia ni Katibu wa Waziri Imani Nkuwi.
 Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (kati) alipata fursa ya kukutana na Mwandishi wa Gazeti la Daily Mail la Nchini Uingereza Martin Fletcher (kulia) na kumfafanulia juu ya juhudi za serikali katika kupambana na ujangili nchini. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Wanyamapori Paul Sarakikya.
 Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akihojiwa na Mtangazaji Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) Zawadi Machibya ambapo alipata nafasi ya kuzungumzia juhudi mbalimbali zinazofanywa na Serikali katika Vita Dhidi ya Ujangili nchini na Changamoto zinazohitaji kuungwa mkono na Jumuiya ya Kimataifa.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Mhe. James Lembeli (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi wa Wanyamapori Paul Sarakikya (kulia) jijini London walipohudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Biashara Haramu ya Wanyamapori. Kati ni Katibu wa Waziri Imani Nkuwi.Picha na Pascal Shelutete, TANAPA

No comments:

Post a Comment